Rapper wa kike Witness sasa Mahaba yamzidi , kachora tattoo ya jina la mpenzi wake kiunoni,

Kama umekuwa ukifuatilia kwa ukaribu maisha ya wasanii wa bongo utagundua kuwa hivi karibuni wasanii wamekuwa wakichora tattoo za majina na picha za wapenzi wao na baadae kuja kujutia mambo hayo.
Hii tumeishuhudia kwa msanii Shilole na Nuh Mziwanda na sasa ni Witness na Ochu Sheggy. Rapa Witness ameandika jina la Ochu kwenye kiuno cheka kwa upande wa nyuma.

No comments